TUTUMIE HABARI NA PICHA MDAU!!

Tuesday, January 31, 2012

AKINA MAMA AMBAO HAWAJABAHATIKA KUPATA WATOTO SOMA HII KWA MAKINI

Tunaopitia Jaribu la kutopata watoto Za leo wadau, Mimi ni mama nina miaka 12 kwenye ndoa na nilichelewa kupata mtoto nilipoenda hospitali . mara nyingi nilianbiwa sina shida nimehangaika sana mwaka jana bila mafaniko, nikaenda tena hospitali kupima nikaambiwa kizazi changu kimekaa upand wa kushoto, ili kiweze kurudi lazima nifanyiwe upasuaji. Kwa kweli nilihuzinika, nililia sana manake kufanyiwa upasuaji wakati haujawahi kuzaa sio jambo zuri sana nzuri, japokuwa kwa kupande wa hospitali ndiyo njia pekee ili kizazi kirudi kwenye njia yake ya kawaida. Nilipo ongea na watu wakaniambia wakasema kuna dawa za asili pamoja na maombi zinaweza kurudisha kizazi kwenye njia yake ya kawaida bila kufanyiwa operation. Kweli nimepewa dawa na mama mmoja na kizazi change kimerudi kawaida,l nilimuona huyo mama na mambo yangu sasa yameishakuwa mazuri, kulia ni meacha sababu Mungu wangu anajibu maombi yangu . Huyo mama hakupi dawa bila kukupimwa manake na mimi alinipima ndo akagundua kuwa kweli kizazi changu kiko upande wa kushoto, baada ya kugundua hilo akanipa dawa. Sasa kwa wenzangu ambao hawajapa watoto tumeangaika sana ebu mtafute huyo mama atawasaidia manake aliyenielekeza kwake aliwahi kupandikizwa vikakataa lakini alipoenda kwa mama huyo alimpa dawa akapata mtoto kirahisi, na mimi nilipoenda nimefanikiwa najua kutopata mtoto nijaribu katika familia lakini Mungu anaweza. Huyu mama anaitwa mama Eva No. yake 0753 949956 mpigie anapatikana muda wote

0 maoni: