1.kufikiri kwa zingatio moja(ondoa mambo mengine yote),uwezo wa kufikiri kwa kuondoa mambo yanayochanganya kwenye akili yako
2.Kufikiri kwa ubunifu,uwezo wa kuvunja sanduku la mipaka yako na kugundua mawazo mapya kabisa
3.kufikiri kimkakati,uwezo wa kutekeleza msisimuko wako na kutumaini kupata ufumbuzi kwa yasiyowezekana
4.kufukiri kwa uhalisi,uwezo wa kujenga msingi imara juu ya kuweza kufikiri kwa uhakika
5.kufikiri kiuwezekano,uwezo wa kuelekeza msisimuko wako na kutumaini kupata ufumbuzi kwa yasiyo wezekana
6.Kufikiri kwa kukosoa,uwezo wa kukataa mipaka ya wazo lililozoeleka ili kupata matokeo yasiyoya kawaida
7.kufikiri kwa pamoja,uwezo wa kuhusisha mawazo ya wengine ili kupata matokeo unganishi
8.kufikiri kusipo kwa ubinafsi,uwezo wa kuwafikiria wengine na safari yao ili kufanikisha ushirikiano
Mtu anayefikiri ana faida kubwa sana,kwanza hukoa muda mwingi wa ufanyaji jambo Fulani,kwa kuwa hutumia kanuni ya 20/80 huwa na kujiamini ya kutosha ambapo ni jambo la msingi,kuwavutia wengi jambo unalolifanya maana huku kurupuka.Ni raisi sana kuanza kufikiria anza sasa kupanga muda ambao kila siku utapenda kuwa peke yako na hali ya utulivu ukitafakari muda mzuri mara nyingi ni asubuhi alfajiri,usiku saa pale ambapo hakuna usufumbufu,
Ndugu yanguwatu wanasema mtu asiyekuwa na taarifa (habari)hana tofautina mnyama anayetembe barabarani lolotelile laweza kumtoke aendako kwa kuwa hana taarifa,mimi nasema ukiwa haufikirii ni kumpa tikeki mtu anayefikiria kukutawala,anza sasa kuweka ratibu ya kufikiri kwa siku sana sana usiku au asubuhi,ufanye moyo wako uwe unatamani kujua mengi mazuri,,kuna faida nyingi za kufikiri ikiwepo kuongeza thamani ya jambo unalolifanya napia kuwavutia watu jambo unalolifanya,anza sasa anza leo.
Maendeleo ya biashara zetu yanatokana na sisi tunavyofikiria,maendelo ya nchi tulionayo leo ni kutokana viongozi wetu walivyofikiria je walikuwa makini au walikopi kutoka kwa wengine? unaweza amua leo ukawa kati ya kundi dogo la watu duniani wanafikiria ili usitawaliwe na wengine na uwe na maendeleo maana blue print yako inatokana na wewe unajituma kufikiri.
WRITER:Deogratius Kilawe ni mfanyabiashara hapa daresalaam,mshauri masuala ya biashara
0717109362au



2 maoni:
that great ideas,sasa ndio muda tz,kuwaza na kutenda kidunia
great idea,now lets act internationaly
Post a Comment