
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali
Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala
Bora,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Katiba na Utawala
Bora,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao
katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za
utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo leo.
Picha na Ramadhan Othman IKULU
0 maoni:
Post a Comment