TUTUMIE HABARI NA PICHA MDAU!!

Friday, January 27, 2012

MTANDAO WA WABUNGE WAWAPA TWIGA STARS MILIONI 10

Mshambuliaji wa timu ya Bunge SC, Adam Malima akimtoka beki wa timu ya Twiga Stars, Siajabu Hassan wakati wa mchezo wa hisani ambao ulikuwa ni ni maalumu kwa kuichangia timu ya Twiga Stars uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Twiga Stars imeshinda 2-1. Timu ya Twiga Stars ilipewa jumla ya shilingi milioni 7.000.000 huku milioni 3.000.000 zikienda katika mfuko wa maendeleo wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kwa ajili ya maendeleo na kiasi cha shilingi milioni 1.049.000 zilipatikana kama kiingilio cha mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jana. Picha kwa hisani ya http://issamichuzi.blogspot.com/

0 maoni: