
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini, Dkt Yassir Mohamed Ali kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar essalaam Januari 27,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt Yassir Mohamed Ali, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari 27,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Post a Comment