Mpiga gitaa la soli wa bendi ya Msondo Said Mabela akionyesha uwezo wake katika kucharaza gitaa hilo katika moja ya maonyesho ya bendi hiyo jijini Dar es salaam, Said Mabela ni mwanamuziki mkongwe lakini bado amebaki kuwa mbunifu na mtundu katika kupiga gitaa la solo kiasi kwamba amekuwa tegemeo la bendi hiyo
Facebook Floats: Share Trading Delayed In US
4 minutes ago




0 maoni:
Post a Comment