Mchezaji Nizar Khalfan wa timu ya Taifa Stars akichuana na mchezaji Frasisco Masinga wa Msumbiji The "Mambas" wakati wa mchezo wao wa kuwania kufuzu katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatakayofanyika nchini Afrika Kusini uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni ya leo.
Mpira umekwisha na timu zote zimetoshana nguvu kwa kuwa na matokeo ya sare ya 1-1 mpaka mwisho0 wa mchezo huo magoli yalipatikana katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo kwa timu zote.
Facebook floats IPO on Nasdaq
1 minute ago






0 maoni:
Post a Comment