KWAYA YA SABATO KIJENGE YAZINDUA ALBAM YA “FAIDA GANI” Mgeni rasmi  Godfrey Mollel
Afisa wa utamaduni na michezo alimuwakilisha Mstahiki Meya wa Jiji la
Arusha Gaudency Lyimo akizindua album ya DVD ya kwaya ya kanisa la
wasabato Kijenge kwenye viwanja vya makumbusho Jijini Arusha
kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa Sabi akiwa akishiriki  kama mgeni mwalikwa
Kwaya ya kanisa la wasabato kijenge ikitumbiiza klwenye hafla ya
uzinduzi wa albam yao ya ni “Faida gani” kwenye viwanja vya makumbusho
wakisindikizwa na
kwaya mbali mbali zaidi ya 8 kutoka makanisa ya wasabato mkoani hapa.
Wanakwaya na waumini wa kanisa hilo wakiwa katika uzinduzi huo.
Mpiga kinanda akiwa kazini Mutani Mafuru Mbassa Ambaye ni mwalimu wa
kwaya hiyo yeye na mtoto huyo aitwaye Ester wakiwa wanawajibika kama
kawaida kuwaletea vionjo waumini walioshiriki hafla hiyo ya uzinduzi wa
wa albamu ya ni faida gani ya kwaya ya kanisa la wasabato kijenge Jijini
Arusha.

admin

Got something to say? Go for it!