Mkurungenzi wa mashtaka (DPP)Dk.Ellezer Feleshi (kulia) akiongea na waandishi wa habari baada ya kufungua semina ya wapelelezi.polisi,mahakimu,na majaji,Dr Ellezer alisema mafunzo hayo yanahusu mbinu za kisasa za kukabiliana na uhalifu wa utakatishaji wa fedha,biashara madawa ya kulevya,utaifishaji wa mali zilizopatikana kwa njia ya haramu na masuala ya ugaidi,semina hiyo ilifanyika katika hotel ya Kunduchi Beach nje kidogo ya jiji la Dar es salaam jana.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Baadhi ya mahakimu na majaji na polisi wakiwa katika semina hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam jana.
Mkurungenzi wa mashtaka (DPP)Dk.Ellezer Feleshi akiwa kwenye picha ya pamoja na majaji pamoja na mahakimu na washiriki mbalimbali wa semina hiyo.









