NBC yakabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko.

Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko
wako na NBC, Salome Mayenga akionyesha pesa alizoshinda katika hafla
ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni
hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni maofisa wa benki hiyo,
Gaudence Shayo (kushoto) na Loiruck Mollel (kulia).

Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko
wako na NBC, Wilbert Muganyizi akionyesha pesa alizoshinda katika
hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa
promosheni hiyo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko
wako na NBC, Yahaya Makame akionyesha pesa alizoshinda katika hafla
ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni
hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Gaudence
Shayo.

Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko
wako na NBC, Justin Fabian  akionyesha pesa alizoshinda katika hafla
ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni
hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni maofisa wa benki hiyo,
Gaudence Shayo (kushoto) na Judith Motta.

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!