Mchekeshaji Steve Nyerere akiwa na wanamuziki wa Skylight bendi wakiwasha moto.
jukwaani kwa shoo kali ya uzinduzi ,Uzinduzi wa bendi hiyo uliofanyika katika hoteli ya Graffe Ocean View
jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wadau na wapenzi mbalimbali wa mzuki, Bendi ya SKYLIGHT inaundwa na wanamuziki wengi waliotoka katika bendi ya Machozi ilinayoongozwa na mwanadada Lady Jay Dee.
Steve Nyerere haya twendeee
Vimwana wa Skylight bendi wakionyesha umahili wao.
Sam Machozi akimwaga burudani
Sam Machozi ahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Waimbaji wa bendi hiyo wakifanya vitu vyao
Joniko Flawa akimwaga mauno mbele ya wadau.
Uongozi wa bendi ya SKYLIGHT ukifuatilia onyesho hilo la uzinduzi








