Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa Taarifa maalum kwa
Wananchi kuhusu zoezi la uandikishaji wa Sensa itakayofanyika siku ya
Jumapili tarehe 26 Augusti mwaka huu,ambayo itaweza kufanikisha mipango ya
maendeleo kwa Taifa. [Picha ya Ramadhan Othman, Ikulu.]









