LAPF YAENDESHA SEMINA KWA WAHARIRI WASANIFU WA VIPINDI VYA RADIO NA TELEVISHENI MJINI MOROGORO

Meneja wa Kanda wa Mfuko wa hifadhi za wafanyakazi wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. Sayi Lulyalya akitoa mada katika semina ya iliyokutanisha mfuko huo na Kituo cha Maendeleo cha Wahariri wa Wasanifu na Watayarishaji wa Vipindi ili kuelewesaha jinsi mfuko huo unavyofanya kazi zake na faida za kuwa mwanachama wa mfuko huo. semina hiyo imefanyika kwenye Hoteli ya Nashera mjini Morogoro leo

Elias Baruti Meneja Uwezeshaji akitoa mada za uwezeshaji katika semina hiyo

Mwenyekiti wa KIMAWATA Bw. Lauden Mwabona akizungumza katika semina hiyo mara baada ya kufunguliwa rasmi wanaofuatia katika picha ni Andrew Kuyeyana Meneja Uhusiano wa LAPF, Sayi Lulyalya Meneja wa Kanda ya Mashariki LAPF na Elias Baruti Meneja Uwezeshaji.

Kutoka kulia ni Rwhema MkambaAfisa Masoko na Uhusiano LAPF, Andrew Kuyeyana Meneja Uhusiano na Elias Baruti Meneja Uwezeshaji wakijadili jambo katika semina hiyo

Mpga picha wa Gazeti la Jambo Leo na Mmiliki wa blogu ya Kamanda wa Matukio Richard Mwaikenda akiwa pamoja na wahariri wengine katika semina hiyo

Mhariri wa Habari kutoka Clouds Joyce Shebe akiwa katika semina hiyo na washiriki wengine.

Mwenyekiti wa KIWAMATA Lauden Mwambona akizungumza na Jane Mihanji kutoka gazeti la Uhuru wa nne kutoka kulia ni Mkurugenzi wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku.

Mkurugenzi wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku akifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.

Washiri wakifuatilia mada katika semina hiyo

Umakini ulikuwa ni muhimu ili kuelewa vizuri mada hizo.

Hapa ni baada ya  Kushoo Love kwa picha ya pamoja

Hapa  katika picha ya pamoja

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!