Mandela alikuwa amelazwa katika Hospitali teule ya wilaya ya Iringa Hospitali ya Ipamba .
Habari ziwafikie ndugu jama na marafiki popote pale alipo .
Tangazo hili limetolewa na mpiga picha Misanjo Livigha Mlalahoi Alwatan wa Highlands Hall Iringa.
Mandela atakumbukwa mkoani Iringa kwa jitihada mbali mbali alizozifanya katika kusaidia shule madawati ikiwemo shule ya sekondari Idodi iliyokumbwa na mkasa wa kuteketea kwa moto .
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Amina





