Balozi wa Indonesia akutana naRais Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Indonesia
nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya
Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa
kazi.   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na  Balozi wa
Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,aliyefika
kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi.   [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!