Joshua Madeleka na Mkewe wameremeta

Bwana harusi Joshua Madeleka akiwa na Mkewe katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao hivi karibuni katika kanisa la Morovian Ukonga na kufuatiwa na sherehe kubwa ilityofanyika Landmark Hotel Ubungo jijini Dar es Salaa.
MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!