Wakazi wa wilaya ya Mpanda mkoa wa Katavi wakiwa katika shughuli mbalimbali za maendeleo za kujitafutia kipato.hao wanaosukuma baiskeli wakiwa wamebeba magunia ya mkaa katika barabara ya mpanda mishamo.
Mistu na mapori yaliyoko kwenye ardhi ya mkoa wa Katavi ambao ni moja ya mikoa michache yenye raslimali na fursa adimu ambazo hazijatumika ipasavyo na kuwaletea wananchi ,maeneo mengi bado hayajatumika kwa shughuli za kilimo cha Umwagiliaji na ukanda wa vilima vilivyoko mkoani humo kwa shughuli za uchimbani madini.
(Picha zote na Kibada Kibada Fullshangwe-Katavi)
Watoto wakiwajiandaa kuendeleza utamaduni kwa kucheza ngoma katika moja ya hamasa za shughuli za kujiletea maendeleo katika mkoa wa Katavi.










