Mwanafunzi wa shule ya msingi Nyagao ya wasioona na wanaoona, iliyopo Wilaya ya Lindi, Hussein Omari akimsiiliza Rafael Mohamed, anayesumbuliwa na ugonjwa wa uvimbe ambao umemfanya ashindwe kuona wakati walipokwenda shuleni hapo kwa ajiri ya kupatiwa msaada wa vyakula mbalimbali vilivyotolewa msaada na wasamalia wema.
Mkazi wa Kijiji cha Mnamba kata ya Nampa mkoa wa Lindi,Rafael Mohamed (36)anayesumbuliwa na uvimbe wa pua tangu mwaka 1984 akisaidiwa na mtoto wake Shafi Abdarah mwenye umri wa miaka 18.,kwende kutafuta mahitaji ya kilasiku ,mama huyoanaomba msaada wa matibabu kwani madaktari wa Hospitali ya mkoa wa Lindi wameshindwa kumfanyia upasuaji.






