Mjumbe wa kati ya ufundi ya michezo ya shimwi Bw.Peter Singano (kushoto) akifaanua jambo wakati wa mkutano mkuu wa viongozi wa vilabu vya michezo ya SHIMIWI uliokuwa ukijadili michezo itakayoanza kuchezwa katika viwanja tofauti tofauti mjini morogoro tarehe 22/9/2012 ambapo idadi ya timu zinazotarajiwa kushiriki ni 65 na michezo inayotarajiwa kuchezwa ni kuvuta kamba,mbio za baiskeli pamoja na michezo mingine mingi wa kwanza kulia mjumbe wa kamati Bw.Mohamedi Kiganja,katikati mwenyekiti wa SHIMIWI Bw.Daniel Mwalusamba,wakwanza kulia Katibu mkuu SHIMIWI Bw.Ramadhani Sululu. mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa haki za Binadamu jijini Dar es salaam leo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaamleo




