Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi za Siasa isiyofungamana na Upande wowote wamalizkia nchini Iran

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi,  walipokutana jana mjini Tehran  na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi,  walipokutana jana mjini Tehran  na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa  16 wa  Wakuu wa Nchi  za Siasa ya Kutofungamana na Upande wowote  uliomalizika jana mjini Tehran,  Iran. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!