WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA ASKOFU KIKOTI WA MPANDA

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kitoa heshima za mwisho kwa marehemu Mhashamu, Askofu Pascal William Kikoti katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa kuu katoliki, jimbo la Mpanda, Septemba 1, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mluu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la Askofu Pascal William Kikoti katika mazishi yaliyofanyika kwwney Kanisa Kuu la Katoliki jimbo la Mpanda mjini Mpanda Septemba 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa amebeba shada la maua kwa ajili ya kuliweka kwenye kaburi la aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal William Kikoti katika mazishiyaliyofanyika kwenye kanisa kuu Katoliki jimbo la Mpamba, Septemba 1, 2012. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)Maaskofu wakoka kwenye kanisa kuu Katoliki la Mpanda Mjini Mpanda baada ya mazishi aliekuwa Askofu wa Jimbo la Mpanda Mhashamu, Pascal William Kikoti yaliyofanyika kwenye kanisa hilo Mjini Mpanda Septemba 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!