Mtaalam wa promoshen, Mahusiano na Udhamini wa Kampuni ya simu za mkononi TIGO Bw. Edward Shila (katika) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hotel ya Southern Sun jijini Dar es salaam leo kuhusu kampuni hiyo kudhamini maonyesho ya sarakasi yajulikanayo kama (Tigo mama Africa) yatakayofanyika katika ukumbi wa Sinema wa mwenge jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 27 semptemba mpaka 04 Novemba mwaka huu 2012,michezo hiyo itaambatana na sarakasi,upindaji wa viungo,michezo ya viinimacho,michezo ya angani. katika picha kulia ni Afisa uhusiano tigo Alice Maro,wakwanza kushoto Mkurugenzi mtendaji wa Mancom Centre Bw.Costautine Magavilla.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)





