CHUO KIKUU HURIA WAZINDUA UJENZI WA JENGO KUU LA ELIMU

Makamu mkuu wa Chuo Kikuu huria cha Tanzania PROF. TOLLY S.A. MBWETTE  akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa  ujenzi wa jengo kuu la elimu chuo kikuu huria na masafa uliofanyika katika chuo kikuu huria Tanzania jijini Dar es salaam leo uzinduzi huo umeenda sambamba na uzinduzi wa kituo cha utawala bora kwa masomo ya uandishi wa habari pamoja na uzinduzi wa masomo ya kifaransa katikati waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi
Dkt Shukuru Jumanne Kawambwa na kulia
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Samwel Wangwe watatu kulia

(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

Waziri wa Elimu na Mafunzoya Ufundikulia akizindua ujenzi wa jengo kuu la elimu chuo kikuu huria Tanzania na masafa kulia kwake Mama Maria Nyerere.

Mwakilishi kutoka ubalozi wa ufaransa Bw;Francois Leonardi akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakwanza kushoto Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Samwel Wangwe watatu kulia waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Dkt Shukuru Kawambwa wa kwanza kulia na Makamu mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania
. PROF. TOLLY S.A. MBWETTE

DKT. Shukuru Kawambwa  akiwa katika picha ya pamoja viongozi wa chuo hicho mara baada ya kumalizika uzinduzi huo leo

Mama Maria Nyerere pamoja na Waziri Dkt Shukuru Kawambwa wakiwa katika picha ya pamona na uongozi wa chuo kikuu Huria

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!