Mkufunzi wa warembo katika shoo ya Redd’s Miss Temeke, Dickson Daud akiwanoa warembo hao katika Club ya TCC Chang’ombe jana, tayari kwa shindano lao litakalofanyika Septemba 21 mwaka huu.
Warembo wa Redd’s Miss Temeke, wakiwa mazoezini jana katika Club ya TCC Chang’ombe , tayari kwa shindano lao litakalofanyika Septemba 21 mwaka huu.
(Picha; Dotto Mwaibale)




