RootsYR yasherekea mafanikio ya miaka 6 nchini Tanzania

CEO wa kampuni ya RootsYR Ulric Chateris akiwahutubia wageni waalikwa katika hafla ya siku ya kuzaliwa kampuni hiyo yenye kufanya shughuli za media na matangazo iliyotimiza miaka 6 hivi karibuni.

CEO wa RootsYR Ulric Chateris (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Masoko TBL Kushilla Thomas katika sherehe ya miaka 6 ya siku ya kuzaliwa RootsYR.

Baadhi ya wafanyakazi na wadau wengine wa RootsYR katika hafla hiyo.

Mkurugenzi Mkuu wa RootsYR Denise Rosiello (katikati) akiwa na designer maarufu Ally Rehmtulla na mdau kutoka TBL Bw. Arthur.

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!