DKT. FENELLA MUKANGALA AFUNGUA SEMINA YA WANAWAKE WAADVENTISTA

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akihutubia Mkutano wa Idara ya Huduma za wanawake ya Kanisa la Kiadventista Kanda ya Mashariki (hawapo Pichani) wakati wa Ufunguzi wa Semina ya umoja wa wanawake wajasiliamali wa kanisa hilo ulioanza leo jijini Dar es salaam.Semina hiyo itamalizika tarehe 9/9/2012. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Baadhi ya akinamama wa wa Idara ya Huduma za Wanawake wa Kanisa la Kiadventista Kanda ya Masharika wakimsikiliza Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara wakati wa uzinduzi wa semina ya siku tatu ya umoja wa wanawake wajasiriamali wa kanisa hilo.(Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akizindua Semina ya wanawake wajasiriamali wa kanisa la Kiadventista nchini Kanda ya Mashariki jijini Dar es Salaam jana (Leo). (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akikagua Bidhaa za wajasiliamali wanawake wa Kanisa la Kiadventista nchini Kanda ya Mashariki baada ya ufunguzi wa semina hiyo jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!