FFU Ughaibuni wafunika tena Alafia Festival,Hamburg

Siku ya Jumapili 26.08.2012 katika maonyesho ya Alafia Festival,mjini Hamburg,Kulivamiwa na kikosi cha Ngoma Afrika band aka FFU,bendi hiyo maarufu  ya muzikiwa dansi barani ulaya ilikua na kazi moja tu ya kuwadatisha akili washabiiki katika onyesho la Alafia mjini hamburg! .

Ambapo washabiki walijikuta wakidatishwa akili na mdundo wa FFU.
Ngoma Africa band wanashikilia Tuzo ya kimataifa ya IDA-International Diaspora Award,pia wanatamba na CD mpya Bongo Tambarare, wasikilize hapa

www.ngoma-africa.com

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!