Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
Katibu mkuu wizara ya ulinzi akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazish
Mkuu wa Majeshi Jenerari Davis Mwamunyange akiongea na vyombo vya habari wakati wa kuaga miiili ya wanajeshi waliopoteza maisha katika jeshi la kulinda amani nchini Sudan








