WAISILIMU WENYE MSIMAMO MKALI WAANDAMANA HADI WIZARA YA MAMBO YANDANI

 

Kamanda Suleimani Kova akijaribu kuwatuliza waisilamu waliaoandamana  hadi Wizara ya ya Mambo ya ndani ya nchi jijini Dar es salaam kushinikiza wenzao waliokamatwa na jeshi la polisi walipokataa kuhesabiwa wakati wa zoezi la sensa lililoanza usiku wa kuamkia tarehe 26 Agosti mwaka huu.

(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

Jeshi la polosi likiwa tayari kuakikisha ulinzi unakamilika Waislamu wakiwa wamefurika katika makao makuu ya Wizara ya Mambo ya ndani leo

Hapa wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali

Hapa wakiwa katika bango la Wizara ya mambo ya ndani

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!