PINDA AWASILI KAHAMA KWA ZIARA YA SIKU MOJA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akivalishwa skafu  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja wilayani humo Septemba  8, 2012. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga, Haisi Mgeja. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Buzwagi  wilayani Kahama kwa ziara ya siku moja wilayani huomo, Septemba 8, 2012. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Azza Hilal na watatu kulia ni mbunge wa Kahama, James Lembeli

Wasanii wa Khama wakicheza ngoma ya Waswezi wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja Septemba 8, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!