RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA MAZIWA MAKUU, KAMPALA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012

(PICHA NA IKULU)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taif Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (kulia kwake) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakielekea kwenye mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na  Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala leo Septemba 7, 2012. Rais Kikwete amewasili nchini Uganda leo  kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Kenya Mhe Kalonzo Musyoka aliyemtembelea katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala leo Septemba 7, 2012 ambako wote wamewasili kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Makamu wa Rais wa Kenya Mhe Kalonzo Musyoka aliyemtembelea katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala leo Septemba 7, 2012 ambako wote wamewasili kuhudhuria mkutano wa siku moja wa viongozi wa nchi za maziwa makuu.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda baada ya mazungumzo mafupi katika hoteli ya Speke Resort Munyonyo jijini Kampala leo Septemba 7, 2012. Rais Kikwete amewasili nchini Uganda leo kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!