WASHIRIKI WA REDD’S MISS KINONDONI 2012 WATAMBULISHWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mratibu wa Redd’s Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam wakati wa wakiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la Redd’s Miss Kinondoni 2012 ambalo litafanyika Septemba 14, kwenye ukumbi wa Cassa Complex, Mikocheni, Dar es Salaam. Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012.
Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012 akiongea machache na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakati wakitambulishwa.
Washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakiwa na waaandaaji na wadhamini.
Waandishi wa habari wa Channel 10, Fredy Mwanjara aliyeshika kamera akiwa na mwenzake Saidi Kirumanga wakimfanyia mahojiano mrembo wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 Nahma Saidi.
Mwandishi wa Habari Saidi Kirumanga wakimfanyia mahojiano mrembo wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 Kudra Lupatu.
 Washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.
MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!