Meneja Chapa na Matangazo wa Benki ya NBC, Arden Kitomari
(katikati, waliokaa) akitoa maelezo wakati wa droo ya pili ya
promosheni ya Dabo Mshiko Wako na NBC jijiji Dar es Salaam jana.
Wateja 10 wa benki hiyo walijishindia viwango mbalimbali vya fedha
kutokana na kiasi cha akiba walichojiwekea katika akaunti zao. Wengine
ni maofisa wa NBC, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini (GBT) na
kutoka Selcom Wireless.
Meneja Chapa na Matangazo wa Benki ya NBC, Arden Kitomari
(katikati, waliokaa) maofisa wa NBC, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
nchini (GBT) na wa kutoka Selcom Wireless wakiangalia majina ya
washindi wa droo ya pili ya promosheni ya Dabo Mshiko Wako na NBC
jijiji Dar es Salaam jana. Wateja 10 wa benki hiyo walijishindia
viwango mbalimbali vya fedha kutokana na kiasi cha akiba
walichojiwekea katika akaunti zao.








