AFISA MAENDELEO YA JAMII WA MKOA WA LINDI BI ANNA MARO KULIA AKIPOKEA MSAADA WA VITABU 5O,VYA MASWALI NA MAJIBU YA NAMNA YA MTINDO BORA WA MAISHA NA MAGONJWA SUGU YASIYOAMBUKIZWA ILI VITUMIKE KUTOA ELIMU KWA VIONGOZI WA MKOA NA WANANCHI NAMNA YA KULINDA AFYA ZAO ,ANAYEKABIDHI NI BI FORTUNATA RAYMOND AFISA MWANDAMIZI WA NHIF OFISI YA LINDI.
AFISA MAENDELEO YA JAMII WA MKOA WA LINDI BI ANNA MARO AKIPIGA PICHA YA PAMOJA NA BI FORTUNATA RAYMOND AFISA MWANDAMIZI WA NHIF OFISI YA LINDI.BAADA YA MAKABIDHIAN.




