Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Buyuni Dar es Salaam. Mradi wa nyumba mfuko huo una jumla ya nyumba 641 Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) naTabora (25)








