Kikosi cha JKT Oljoro kikiwa katika picha ya pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba kabla ya mpambano wao na Toto African.
Timu ya Toto African ya Mwanzaikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpambano huo.
…………………………………………………
Kipindi cha pili kilianza kwa Timu zote kushambuliana kwa hatamu na timu ya Toto African wakipoteza magoli ya wazi kabisa. Kipa wa Toto African alifanya kazi kubwa ya kuondoa michomo kibao kwenye lango la timu ya Toto African.
Dakika ya 88 timu ya Jkt Oljoro walipata goli la kwanza kupitia Hemedy Amri na kisha Toto Afrikan kusawazisha dakika 89 kupitia kwa Mohamed Notto. Na hadi mwisho wa mechi Toto afrikan moja na Jkt Olojoro moja. Matukio zaidi tembelea www.fpluss.blogspot.com








