ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NGUDU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akifungua mradi ya Ufugaji nyuki katika kijiji cha  Nkalalo   wilayani kwimba akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 14, 2012. Nyuma yake ni mkewe Tunu na kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Suleiman Mzee. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wasanii wa Kikundi cha Ng’wanadelema cha Ngudu wilayni Kwimba wakicheza ngoma ya Wayeye wakai Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasalimia wnanchi katika kijiji cha Nkalalo wilayani Kwimba akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza Septemba 14, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunuwakiwa wamevikwa mavazi ya kiongozi wa jadi wa Sungusungu katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa mpira wa miguu wa Ngudu Septemba 14, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Wananchi wa Wilaya ya Kwimba  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa miguu  wa Ngudu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 14,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!