AGAPE TELEVISHEN NETWORK YAZINDUA HUDUMA YA BOBILE TV

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Patrick Makungu akitoa hotuba wakati wa kusherehekea miaka 11 ya kituo cha televisheni cha ATN zilizofanyika jana sherehe hizo zilienda sambamba na uzinduzi wa kipindi cha kwa nini? pamoja na uzinduzi wa mobile TV ambapo huduma hii mtu anaweza kuipata kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa (www.atnplay.com) kuangalia vipindi mbalimbali vya ATN vinavyorushwa na televishe ya AGAPE LIFE CHURCH uzinduzi huo ulifanyika katika kanisa la Agape jijini Dar es salaam jana.

PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

Mmliki wa kituo cha Televishen Agape Bw.Vernon Fernandes kushoto pamoja na mkewe wakikata keki wakati wa kusherekea miaka 11 ya ATN  wa nne kulia ni mbunge wa kawe Mhe Halima Mdee(wa kwanza kulia mliki wa kituo cha WAPO  Redio Bw Silvestre Gamanywa

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,Dr Patrick Makungu (wa tatu kutoka kushoto)akibonyeza kitufe kwenye simu kuashiria uzinduzi mobile TV  kushoto ni  mliki wa kituo cha WAPO Redio Bw Silivestre Gamanywa kushoto.mbunge wa kawe Mhe Halima Mdee wakishuhudia uzinduzi huo

Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia,Dr Patrick Makungu akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuzindua huduma hiyo

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!