Mkazi wa Kijiji cha magugu, Sungaji Kata, Wilaya ya Mvomero Mkoa
Morogoro, Hamis Athuman (kushoto) akikabidhiwa mfano hundi ya
thamani ya Sh. milioni kumi kutoka kwa mwakilishi wa kapuni ya simu za mkononi Tigo,baada kushinda promosheni ya Tigo Beats




