Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala (kulia) akiwakaribisha ofisini kwake wageni kutoka Malawi na Sierra Leone ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma.
(PICHA NA ARON MSIGWA WA MAELEZO)
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala (upande wa kulia katikati) akiwa na baadhi ya watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma akisikiliza m aelezo kutoka kwa Bi.Geoigiana Kamara (kulia) kuhusu utendaji kazi wa Ofisi ya Rasilimali watu ya Sierra Leone.
Afisa Tawala Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Chele Ndaki akitoa maelezo ya namna Tume hiyo inavyotekeleza majukumu yake kwa wageni kutoka Malawi na Sierra Leone ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma.








