MAPACHA WATATU NYANDA ZA JUU KUSINI KWA KAZI MAALUM

Mapacha watatu Blogger kutoka kulia ni Mroki wa http://mrokim.blogspot.com/ Ahmded Michuzi wa http://michuzijr.blogspot.com/ na John Bukuku wa http://www.fullshangweblog.com wakionyesha alama ya mapacha watatu katika kiota cha Kalenga Motel and Lodge mjini Iringa, Mapacha watatu tuko mkoani Iringa kwa wiki sasa tukiripoti tukio la Maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa usalama Barabarani ambayo imefanyika mkoani Iringa Kitaifa.

Kesho tunagawanyika kidogo ambapo jembe moja Mroki Mroki litabaki hapa Iringa kwa ajili ya Ufungaji wa maadhimisho hayo huku Majembe mawili John Bukuku na Ahmed Michuzi tutaelekea mbeya kwa ajili ya Tamasha la Serengeti Fiesta litakalofanyika mkoani Mbeya kesho na kurejea jumamosi tena mjini Iringa kwa ajili tamasha lingine la Fiesta mjini Iringa siku ya jumapili kisha jumatatu tutarejea jijini Dar es salaam kuendelea na majukumu mengine.

Hapa mapacha watatu wa kishoo love kwa pozi kali na la kujiamini.

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!