HAYA NDIYO MABASI YA SIMBA NA YANGA WALIYOKABIDHIWA NA TBL

Hili ndilo basi la Simba aina ya YUTONG walilokabidhiwa na wadhamini wao kampuni ya bia ya Tanzania TBL kupitia kinywaji cha Kilimanjaro.

Picha kwa hisani ya http://www.shaffihdauda.com

Hili ndilo basi la Yanga aina ya YUTONG walilokabidhiwa na wadhamini wao kampuni ya bia ya Tanzania TBL kupitia kinywaji cha Kilimanjaro.

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!