TANZANIA NA UJERUMANI ZASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA USAFIRI WA ANGA

  Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. Dkt. Harrison  Mwakyembe (Mb) akijiandaa kusaini Mkataba wa Ushirikiano wa Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Ujerumani, tarehe 17 Septemba, 2012 mjini Berlin. ambapo ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na waziri huyo ulifanikisha mazungumzo hayo na hatimaye ukasainiwa mkataba huo.

Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. Dkt. Harrison  Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba.wa Ushirikiano wa Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Ujerumani, tarehe 17 Septemba, 2012 mjini Berlin.

  Waziri wa Wiazra ya Uchukuzi Mhe. Dkt. Harrison  Mwakyembe (Mb)akibadilishana Mkataba na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara baada ya Mkataba huo kusainiwa.

Waziri wa Wiazra ya Uchukuzi Mhe. Dkt. Harrison  Mwakyembe (Mb)akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa.

Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika ukiwa na wenyeji wao.

Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania, Berlin.

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!