MKUTANO WA LAPF UMEANZA LEO ARUSHA

Mkurugenzi mkuu wa Lapf Eliud Sanga pichani katikati akizungumza na vyombo vya habari kuelezea mkutano ulionza leo wa wanachama wa mfuko huo wa jamii ambapo mkutano huo utafungwa kesho na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete  na unafanyika kwenye ukumbi wa AICC jijini Arusha kwa siku mbili kushoto kwake ni afisa uhusiano wa mfuko huo Endruw kueyana na kulia ni afisa masoko Mablangeti (Picha na Mahmoud Ahmad Arusha)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!