Kumbukumbu muhimu Singida

Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini,Godbless Lema(katikati) akiwa na wakili  katika kesi iliyomvua ubunge,Alute Mughai (kushoto) na kulia kwake ni mbunge wa jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ni wakili katika kesi ya kupinga kuvuliwa madaraka yake ya ubunge wote wakiwa katika msiba wa baba yake na Lissu aliyefariki hivi kaibuni jijini Dar es salaam na kisha kuzikwa nyumbani kwao Singida.

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!