Rais Kikwete katika picha ya Pamoja na wajumbe wa NEC Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya moja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma wakati wa kikao cha NEC kilichofanyika jana. Kikao hicho kilikuwa cha mwisho kwa wajumbe wa NEC baada ya kumalizika kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi wao.(picha na Freddy Maro)

MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!