SERENGETI BOYS KUCHEZA NA ASHANTI KESHO KARUME

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) baada ya ziara ya Mbeya imerejea Dar es Salaam ambapo inaendelea na maandalizi na kesho (Septemba 26 mwaka huu) itacheza mechi ya kirafiki na timu ya daraja la kwanza ya Ashanti United.
 
Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni kwa kiingilio cha sh. 500 tu.
MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!