JAMII PRODUCTION katika mahojiano na Mhe. Mwanaidi S. Maajar Balozi wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico

Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na Mzee wa changamoto wetu, Mubelwa Bandio, katika mahojiano yaliofanyika Siku ya Jumanne January 8, 2013 ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington DC Nchini Marekani. (Picha na swahilivilla.blog)
MIMI NI MPIGA PICHA NA MWANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA NA KUPITIA BLOG HII NINA IMANI TUTAWEZA KUPEANA HABARI MBALIMBALI ZA BURUDANI ZITAKAZOFURAHISHA NA KUELIMISHA NAOMBA USHIRIKIANO WENU ILI TUWEZE KUFIKA TULIPOKUSUDIA

Got something to say? Go for it!