PICHA ZA WATOTO WALIOTEMBELEA MAKABURI YA BABA ZAO MAKABURI YA WACHINA

968Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing,  akitoa hotuba ya kuwakaribisha  watoto sita ambao baba zao walifariki dunia  wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara kwenye hoteli ya  Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam, jana jioni. Halfa hiyo ilihusisha wafanyakazi waliokuwepo wakati huo. 962Kaimu  Mkurugenzi  Mtendaji wa Reli ya Tazara, Ronald Khiri akitoa hotuba ya kuwakaribisha  watoto sita ambao baba zao walifariki dunia  wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara.989Mmoja wa watoto wa wataalamu wa ujenzi wa Reli ya Tazara, Liu Yuan Hong akitoa heshima  mara  baada ya kuzuru leo katika kaburi la baba yake kwa mara ya kwanza  kwenye makaburi yaliyoko  Gongolamboto jijini Dares Salaam. 995Mmoja wa watoto wa wataalamu wa ujenzi wa Reli ya Tazara, Zhang Jun Juan akilia kwa uchungu baada ya kuzulu leo  kaburi la baba yake kwa mara ya kwanza  marehemu Zhang  Zhen  Zong kwenye makaburi yaliyoko  Gongolamboto jijini Dares Salaam977Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing,  akifafanua jambo   kwa waandishi wa habari wakati hafla ya   kuwakaribisha  watoto sita ambao baba zao walifariki dunia  wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara kwenye hoteli ya  Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam katika hafla iliyofanyika jana jioni. Halfa hiyo ilihusisha wafanyakazi waliokuwepo wakati huo. 981Baadhi ya watoto ambao baba zao walifariki dunia  wakati wa  ujenzi wa Reli ya Tazara wakiwa katika hafla ya mapokezi  kwenye hoteli ya  Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam jana jioni. Halfa hiyo ilihusisha wafanyakazi waliokuwepo wakati huo. 1009Baadhi ya wafanyakazi waliokuwepo wakati wa ujenzi wa Reli ya Tazara wakiwa katika picha ya pamoja, kushoto ni Ma  Lei, katikati ni Liu Qiang na kulia ni  Sang  Tian Kang.

Picha  zote  Magreth Kinabo – Maelezo

 

admin

Got something to say? Go for it!